University of Kabianga Repository

Je Ṁaka Wa 95 Ṭangu Kʰamati Ya Luǧa Kuunrwa Uṭaleta Mabaḍiliko ya Kukiyaṇḍika Upya KiSwahili Sanifu?

Show simple item record

dc.contributor.author Karama, Mohamed
dc.date.accessioned 2025-01-07T07:22:58Z
dc.date.available 2025-01-07T07:22:58Z
dc.date.issued 2024-12
dc.identifier.uri http://ir-library.kabianga.ac.ke/handle/123456789/944
dc.description Jarida la, Je Ṁaka Wa 95 Ṭangu Kʰamati Ya Luǧa Kuunrwa Uṭaleta Mabaḍiliko ya Kukiyaṇḍika Upya KiSwahili Sanifu? en_US
dc.description.abstract Mapisi ya usanifišaji wa kiSwahili yanaoneša kuwa kulikuwa na kauli mbalimbali kuhusu kaďiya hiyo muhimu k̇ a luǧa yenyewe na elimu k̇ a jumla. Yaloṭokeya haḍi tukawa na kiSwahili sanifu kilivo sasa ni maenreleyo ya karne nzima kupunguwa kʰitʰu kiḍogo. Lakini kama wasemavo wanasayansi mabaḍiliko hayana buḍi kuṭokeya na nriyo makuzi. Wanaisimu waṭajika nilowanukuu k̇ a piča ṭu wamepambanuwa kuwa kiSwahili (ča wazawa) kina sauṭi zinazosikika waziwazi na zenye umuhimu katika fonolojiya— ṭaaluma ya sauṭi na uwamilifu wake. Kʰamati ya Luǧa ilipounra kiSwahili sanifu 1930 “bodirumuni” ilijuwa mfanyiko huu wa kifonolojiya lakini ikapuuza suala hilo na aťari yake k̇ a luǧa yenyewe; bila kutizamiya kuṭakuwaje k̇ enye elimu na teknolojiya. Alhamḍulillahi leo tuna mfumuko wa teknolojiya unaofanya kila kʰitʰu kinukṭaišwe ili kijulikane na watumiyaji wa čočoṭʰe kiličomo uliṁenguni, kefu luǧa na maṭamši yake yenye aťari ya kubaḍiliša maana? Hazifayi sauṭi hizo kufanyiwa uṭafiṭi na kuzijumuiša katika kiSwahili sanifu k̇ a niya ya kukiṭajiriša kifonolojiya na kisemantiki? Au, ṫenrelee kukiyaṇḍika kiSwahili sanifu ṭafauṭi na kinavoṭamk̇ a na ilhali oťografiya yake ni ya sauṭi na viwakiliši vake ni moja k̇ a moja? Au, oťografiya ya kiSwahili sanifu ilikomeya 1930? Hatuzingatii mifano ya mabaḍiliko ambapo kila kukiča kuna mtinro mpya wa k̇urejeleya maaṇḍiko k̇ enye makala kama humu ni APA Ṭoleo 7. Wanaisimu wasiče k̇ a wingi wa sanifu katika kiSwahili kimoja, luǧa ni haliya ya kijamii, kama makabila yalivo mengi Afrika Mašariki na yanaiši k̇a uṭangamano, na luǧa sanifu kuwa nyingi ni k̇ igiza jamii ilivo! Ṫaṭaraji ṁakani 2025 wanaluǧa waṭafikiriya zaiḍi kuhusu kʰasi ya teknolojiya na Wekevu Bune zinazoweza kuzitambuwa sauṭi hizi k̇ a ukʰetʰo. Aiďan, isisahaulike, Kenya kuna Mṭaala wa Utenraji (CBC) ulojaa teknolokjiya mafuṇḍišoni ṁake halafu iwe viṭabu vetu vaaṇḍika na kusema mengine na teknolojiya yasema mengine. InšAllah, Baraza la kiSwahili Kenya (BASWAKE) liṭazawa ṁaka ujawo na ṭʰafiṭi nyingi huku Kenya ziṭariṭibišwa nalo. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.title Je Ṁaka Wa 95 Ṭangu Kʰamati Ya Luǧa Kuunrwa Uṭaleta Mabaḍiliko ya Kukiyaṇḍika Upya KiSwahili Sanifu? en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record

Search DSpace


Browse

My Account