Karama, Mohamed; Mwamzandi, Issa; Kitito, Khalid
(Jarida la Afrika mashariki la masomo ya Kiswahili, 2020)
Shairi la Kutendana katika Sauti ya Dhiki limechanganuliwa, mpaka sasa, kwa
maono ya juujuu kwamba ni shairi la kingono. Kut̪okana na hit̪imisho hili,
Mulokozi amelipuuza kuwa ni shairi lililokosa ubingwa wa kuenreleza
maudhui ...